1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
samahani nauliza vipi kuhusu chuo ch TIA kwenye elimu yake,,,hostel zipo na mazingira yake kwa ujumla,,, pia ningependa kufahamu na wengine waliopangwa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm pia nikoadmited hapo! bba bt nahitaji badili nichukue markertng&public relation vp kubadili course hakuwez affect boom wakuu.
Hongereni, tutakutana huko nipo Accounts.
daah wakuu me mwenyewe nipo admited accountancy hapo............ kwa website yao hakuna any newz.....yoyote cjui y
k,,, vipi chuo kikoje na kinafunguliwa lini
sijui ni lini na kwenye website yao naona hamna news yoyote.
jaman kwab selection za tia zimetoka, rafiki mmezionea wap
hivi kuna wengine waliopangwa campaus za mbeya,,,, mtwara na nynginezo za TIA
jaman! Na wa NACTE je?
yatatoka tu Dada angu usiwe na stress, hakika tutaanza vipindi pamoja.
Hizo campus nyingine nahisi hazitoi Bachelor
Asante sana Allen, asante