Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
daa ndio kusema matawi mengine hayana degree? coz mbeya natua degree hawatoi coz mbeya ndio kwetu..........
degree wanatoa main campus tu , singida,mtwara,mbeya wanaishia diploma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daa ndio kusema matawi mengine hayana degree? coz mbeya natua degree hawatoi coz mbeya ndio kwetu..........
degree wanatoa main campus tu , singida,mtwara,mbeya wanaishia diploma
bora aiseee,, na hostel je ndo kama ivo kubebana ooo
kwa first year Hostel zipo ila first come first served, kuanzia second year unajijua mwenyewe.
source.. web yao kwenye accomodation.
Taasisi inayotoa elimu ya chini na mazingira mabovu sana samahan lakini!
Taasisi inayotoa elimu ya chini na mazingira mabovu sana samahan lakini!
sema namb ya mtihan na mwaka uchekiwe fasta TCU
no S0305/0016/ na S1011/0045.
S/0348/0089. MWAKA 2004, YOHANA PETER MKANKULE, Ndg nisaidie kwani natafuta sites zote leo siku ya 3 naambulia patupu, i mean tcu,nacte,tia kote sioni, nisaidie
s0305/ 0016 na s1011/ 0045