wale waTIA [dsm]

wale waTIA [dsm]

kwa first year Hostel zipo ila first come first served, kuanzia second year unajijua mwenyewe.
source.. web yao kwenye accomodation.

Taasisi inayotoa elimu ya chini na mazingira mabovu sana samahan lakini!
 
sema namb ya mtihan na mwaka uchekiwe fasta TCU

S/0348/0089. MWAKA 2004, YOHANA PETER MKANKULE, Ndg nisaidie kwani natafuta sites zote leo siku ya 3 naambulia patupu, i mean tcu,nacte,tia kote sioni, nisaidie
 
Back
Top Bottom