Tunaendeleza utamaduni
Hivyo vidole tukucha tudogooo ni dalili ya ubahili hatarii
Sio kucha ndefu vikucha vidogo kama vimetafunwa. Just a jokeUnapenda mwanaume afuge kucha ndefu?!
Ikoje Hii Mkuu??Nyagi mix maziwa ya azam tam ajabu
NIMEKUJA MBIO NIKAJUA VYOMBO VYA MZIKI KUMBE ULEVI (UPUUZI)Taja unapendelea kunywa pombe gani??
Mimi napenda kunywa Whisiky Blue Lebel na Bia Castal lager Kubwa.
Nikienda kijijini kwetu ni Gongo na Rubisi.