Wale watu kupiga vyombo tukutane hapa!

Wale watu kupiga vyombo tukutane hapa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Taja unapendelea kunywa pombe gani??
Mimi napenda kunywa Whisiky Blue Lebel na Bia Castal lager Kubwa.
Nikienda kijijini kwetu ni Gongo na Rubisi.
 
406cd026fa76ccec5dfabe7fdfaa1c51.jpg


Tunaendeleza utamaduni
 
jamani mi napenda sana safari japo sikuizi siinywi tena. saizi ni kitu cha k vant au v&a
 
Jebel,konyagi,shujaa,k vant ,+ juice ya komamanga hivyo ni vinywaji vyangu
 
Taja unapendelea kunywa pombe gani??
Mimi napenda kunywa Whisiky Blue Lebel na Bia Castal lager Kubwa.
Nikienda kijijini kwetu ni Gongo na Rubisi.
NIMEKUJA MBIO NIKAJUA VYOMBO VYA MZIKI KUMBE ULEVI (UPUUZI)
 
Back
Top Bottom