Wale watumiaji wa ndege dude hilo sasa

Kama sikosei ndege hiyo ndo iko Mwanza airport. Ilipata ajali ikatelekezwa.
 
Ni fahari kwa wenye kypanda ndege sie wengine halina faida
 
Hao wengne walimtangulia Jpm walikuwa hawakusanyi kodi zenu?
Shukuru sasa kodi yako inatumika kwa maendeleo kama Japan
Yaani mnatuletea picha ya ndege ya kukodi ili tu kuonyesha mema pekee ya "malaika mkuu"!!
 
mandojo +domokaya -lowasa +Sumaye respectively wangeweza hata kununua tairi au zingeishia mifukoni... Fikiri.... Chukua hatua
Bei ya Boeng 787 Dream Liner imeshuka hadi $90+million, vipi Tanzania inanunua kwa $ Dollar ngapi?
 
Kumkumbuka lazima
Ngoja SGR ikamilike,Tazara,Ubungo,Zile Kota za juzi hapo
Tutamuelewa Rais wetu tu
Ni muda utaongea
Ktk marais watakaokbukwa kwa kifanya transition ya taifa kwenda uchumi wa kati JPM ana nafasi yake kubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…