Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mume wa mama ni baba. Kuongea na mshua kuna tatizo?Ujue unaongea na mume wa mama yako
Hao wengne walimtangulia Jpm walikuwa hawakusanyi kodi zenu?Ni kwa kutumia kodi zetu
Ndani ya ccm hakuna msafiHao wengne walimtangulia Jpm walikuwa hawakusanyi kodi zenu?
Shukuru sasa kodi yako inatumika kwa maendeleo kama Japan
Kumbe unaleta uvyama. Sio wote tuna husudu mavyama yenu.Ndani ya ccm hakuna msafi
Endelea na wenye akili kama yakoKumbe unaleta uvyama. Sio wote tuna husudu mavyama yenu.
Yaani mnatuletea picha ya ndege ya kukodi ili tu kuonyesha mema pekee ya "malaika mkuu"!!Hao wengne walimtangulia Jpm walikuwa hawakusanyi kodi zenu?
Shukuru sasa kodi yako inatumika kwa maendeleo kama Japan
Bei ya Boeng 787 Dream Liner imeshuka hadi $90+million, vipi Tanzania inanunua kwa $ Dollar ngapi?mandojo +domokaya -lowasa +Sumaye respectively wangeweza hata kununua tairi au zingeishia mifukoni... Fikiri.... Chukua hatua
Mbona hauja muita sasa mkuu barafu??Ngoja nimuite Mkuu Barafu aje hapa!
Eidha way, tegemea povu la hatari kutoka kwa wachawi wa taifa hili ambao ni waTz hao hao!Nimeikuta hii picha ya ndege mpya
Ingawa mimi sio mpandaji wa ndege, ila hakika mhe Magufuli tutamkumbuka.
Picha inajieleza.
View attachment 498334
Ktk marais watakaokbukwa kwa kifanya transition ya taifa kwenda uchumi wa kati JPM ana nafasi yake kubwa sana!Kumkumbuka lazima
Ngoja SGR ikamilike,Tazara,Ubungo,Zile Kota za juzi hapo
Tutamuelewa Rais wetu tu
Ni muda utaongea
Chadema imejaa wanafiki na mafisadi na watetezi wao!Ndani ya ccm hakuna msafi
Bila ccm ufisadi usingekuwepoChadema imejaa wanafiki na mafisadi na watetezi wao!
Kumbe unamkibali kiaina kuwa anafanya kitu sahihi na kodi yako eeh, sasa umbumbumbu wa nini ktk kila kitu??Nikodi zetu hatoi pesa mfukoni mwake
Bila chadema watetezi wa mafisadi na waabudu mafisadi wasingekuwapo!Bila ccm ufisadi usingekuwepo
Nyie ndiyo mambumbumbu mnaokenua mimeno hovyohovyoKumbe unamkibali kiaina kuwa anafanya kitu sahihi na kodi yako eeh, sasa umbumbumbu wa nini ktk kila kitu??
Kumbe ni pungaBila chadema watetezi wa madisadi na waabudu mafisadi wasingekuwapo!