Wale wawekezaji wa MTFE wapigwa na kitu kizito hela hazitoki

Wale wawekezaji wa MTFE wapigwa na kitu kizito hela hazitoki

Zinatoka au bado tatizo la kiufundi
 
Watu WA dar es salaam mtapigwa sana kwa akili zenu za kuamini Kuna njia za kupata kwa deal, mchongo , tobo, issue flan pasipo kufanya kazi kwa bidii, hakuna mtu yuko mahali atakuzalishia visent vyako ili uvune faida kubwa,mtapigwa sana.
Hujui chochote unaandika uharo tu, ni dar tu wameliwa?
 
Toka nilambwe boom na DECI haya madude hayanipati hata kidgo.
 
Back
Top Bottom