Wale wazee wa salary advance sasa imerejea kazi iendelee

Wale wazee wa salary advance sasa imerejea kazi iendelee

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Wale ambao wamekesha wakilalamika kutokupatikana kwa huduma ya salary advance sasa imerejea Kuna mdau wa jamii forum amenitonya DM baada ya Uzi wangu wakuwaomba wadau kutatua tatizo la salary advance

KAZI IENDELEE
 
Wale ambao wamekesha wakilalamika kutokupatikana kwa huduma ya salary advance sasa imerejea Kuna mdau amenitonya DM.

KAZI IENDELEE
Inasikitisha sana maana hii inatokana na wengi wa watumishi / waajiriwa wakiwemo Polisi na Walimu kuli pwa mshahara kidogo usiokidhi mahitaji ya sasa. Mfano take hone ya 400,000 kwa familia ya kawaida ulipe maji, umeme, nyumba / chumba, nauli ya kwako na familia yako, mavazi, extended families (wazazi na wakwe achilia mbali brothers & sisters), matibabu akiba kidogo lazima salary advance haiepukiki katika kuelekea kuwa maskini mka rushwa au mwizi wa mali ya umma.
 
Back
Top Bottom