Wale wazee wa tuma kwenye hii namba wamerudi tena

Wale wazee wa tuma kwenye hii namba wamerudi tena

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
482
Reaction score
614
Halotel ndio uchochoro wao

Screenshot_20211207-134221_Messages.jpg
 
Labda nao ni miongoni mwa wawezekaji wanaopigiwa upatu kwenye ngazi za juu!???
 
Mimi mwenyewe nimetumiwa hizi message ni common sana kwa voda
 
Kwangu zinaneda kwenye spam alafu number inakua blocked...
 
Back
Top Bottom