Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #21
Kama hujatokea familia za kishua ukitonga ni professional muhimu ya kutimiza malengo.Maborn town wanaelewa.Hata wewe mtoa mada ni mzee wa kamseleleko. Unajisaulisha eeeh๐
Mnatukosea heshima,ukitonga ni fani yenye manufaa sababu wewe unacheza tu na akili za wanadamu wenzio.Kwahizo sifa 9 ulizoweka, nahitimisha kusema kwamba โkitonga ni tapeli alie changamka
Hii ni lugha nyingine mpya yaku justify utapeli ๐๐Mnatukosea heshima,ukitonga ni fani yenye manufaa sababu wewe unacheza tu na akili za wanadamu wenzio.
Mkuu unatusakama wazee wa ukitonga.Hii fani tunasomesha mpaka watotoHii ni lugha nyingine mpya yaku justify utapeli ๐๐
Ukiangalia kwa umakini mkuu,kila kitu duniani ni utapeli kwa tafsiri yako.Ukitonga sio utapeli bali ni taaluma iliyotukuka๐๐Hii ni lugha nyingine mpya yaku justify utapeli ๐๐
Mbona umeguna @Numbisa๐๐๐duh aiseee
Mwisho wa siku wote matatajio yao ni kula kwa mgongo wa wenzao in other words wanataka kulelewa kwa kutumia porojo nyingi.Kuna tofauti kati ya chawa na kitonga mkuu.Ukitonga ni taaluma ila uchawa sio taaluma.
Kula ni issue moja na ukitonga mambo yaende ni issue nyingine.Machawa ndio wanalelewa ila vitonga wapo very professional na wanazingatia codes.Watoto wa mjini wanaelewa hili.Mwisho wa siku wote matatajio yao ni kula kwa mgongo wa wenzao in other words wanataka kulelewa kwa kutumia porojo nyingi.
Kila mla vya wenzie ni hakika vyake pia vitaliwa.
Hii professional mkuu,au wewe ukitonga unauelewaje.May be wewe sio born town wazee wa ruti ndefu na kujiongeza.Ukipenda vitonga Hata ukuta utapenda kushikishwa ๐ณ๏ธโ๐
Wazee wa ruti ndefu ili jambo dogo.Udhaifu wa binadamu upo kwenye sifa basi๐๐๐Hakuna kingine.Kitonga unabidi kumsifu Mtu kwa uongo