Wale wazee wa vitonga tukutane hapa

Wale wazee wa vitonga tukutane hapa

Mwisho wa siku wote matatajio yao ni kula kwa mgongo wa wenzao in other words wanataka kulelewa kwa kutumia porojo nyingi.

Kila mla vya wenzie ni hakika vyake pia vitaliwa.
Kula ni issue moja na ukitonga mambo yaende ni issue nyingine.Machawa ndio wanalelewa ila vitonga wapo very professional na wanazingatia codes.Watoto wa mjini wanaelewa hili.
 
Back
Top Bottom