Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mnasifiana mno jamani,,

unakuta KE anamsifia sana Mzee baba kwamba anajua majambozi, shauri yako alafu mashosti wako wakijilingesha mzee baba anapita tu,, alafu unaanza oooh wanaume hawaridhiki jaman, kumbee we ndo umesababisha

unakuta ME anamsifia mchuchu wake kwamba anayajua mapigo ya mwambao, anakupa kula kitu hahahah,, shauri yako mzee baba unasababisha mate yatutoke CC
 
Hahahah umenikumbusha mwanamke wangu humu. Nilikua namsifiaaaa. Basi wana wanajikimbiza PM, alafu mwanamke ananipa Access na PM yake .

Ni burudani sana !!!! ...watu wanapenda kutest sana. Alafu wanahisi wee kua na huyo mwanamke nilabda huyo mwanamke ni mwepesi mwepesi !!

Shauri yenu. mtaingia pasipoingiliwa !!......... Alafu kukimbizana na mwanamke unayejua Kamegwa na Fulani ...ni Upungufu wa Nguvu za Kiume !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…