Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Dah uliwahi kucheza kidogo au ndo ile ukiwa nje ndio waona makosa ya wachezaji?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, maana umenipa zile za ki Morinyomorinyo zile
we mi straiker kitambo sema tu mambo ya job na majukum nikaacha nimebaki mtazamji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…