General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mweleze kabisa mkuu, asijesema hakujuasi unamuona huyo general mangi yuko namuona kwa sitemirror
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweleze kabisa mkuu, asijesema hakujuasi unamuona huyo general mangi yuko namuona kwa sitemirror
kumbe we wale wavaa mabakabaka? tafadhali usijipige risasiSheikh kuna vya ku share kaka, huku ni kutafutana uhasama!!
Ukisikia watu wanajipiga risasi ndo mambo yenyewe haya
Dah! Kama ni hivyo ngoja nijiepushe na kosa kama ulilolifanya wewe niingie kwa style ya tangazo la ALIPO NIPOshauri yako mi kuna siku hivi hivi njiwa alipeperuka,
nikaambiwa sijiamini,, yaaan[emoji23]
Unaulizia posa?mkuu ushatoa posa [emoji23]
yangu machoKaka naona mazungumzo ya chumbani kabisa tena na Nke ya ntu.
tehtehDah! Kama ni hivyo ngoja nijiepushe na kosa kama ulilolifanya wewe niingie kwa style ya tangazo la ALIPO NIPO
piga pasi fupi fupi mkuuDah! Kama ni hivyo ngoja nijiepushe na kosa kama ulilolifanya wewe niingie kwa style ya tangazo la ALIPO NIPO
kumbe mi nashika filimbiUnaulizia posa?
Mahari ishaliwa, mimi tu kumweka mwali ndani
Kaunta ataki vipi mkuu?piga pasi fupi fupi mkuu
hiyo piga kuanzia dk za 80 uko,, hapa mwanzo mwanzo piga fupifupi ili usichoke[emoji23]Kaunta ataki vipi mkuu?
Nilipanga kupaki gari tangia dakika ya kwanza kumbe naweza poteza mchezo hivihivi eeh! Basi ngoja nifunguke nitanue uwanja na nianze kushambulia game isiende dakika za nyongezahiyo piga kuanzia dk za 80 uko,, hapa mwanzo mwanzo piga fupifupi ili usichoke[emoji23]
usipaki basi,, fanya yale ya FRANCE alivomtendea CROTIANilipanga kupaki gari tangia dakika ya kwanza kumbe naweza poteza mchezo hivihivi eeh! Basi ngoja nifunguke nitanue uwanja na nianze kushambulia game isiende dakika za nyongeza
Dah uliwahi kucheza kidogo au ndo ile ukiwa nje ndio waona makosa ya wachezaji?😀😀😀😀😀, maana umenipa zile za ki Morinyomorinyo zileusipaki basi,, fanya yale ya FRANCE alivomtendea CROTIA
we mi straiker kitambo sema tu mambo ya job na majukum nikaacha nimebaki mtazamji tuDah uliwahi kucheza kidogo au ndo ile ukiwa nje ndio waona makosa ya wachezaji?😀😀😀😀😀, maana umenipa zile za ki Morinyomorinyo zile