[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya nn uumie Mkuu
Yakikushinda mtag wako amabaye hayupo JF [emoji57]
Sipendagi ujinga mm, vitu easy kabsa hv
Cc Mwajuma_wangu [emoji41]
Atarudi tu.Nitakuibia shaurilo
Ila ntakuwa nishampunguza makaliAtarudi tu.
Huwa hapungui makali yule.Ila ntakuwa nishampunguza makali
Ngoja nijiweke kihasarahasara uniibe mimiNitakuibia shaurilo
lakini wewe umetupanga foleni[emoji28]Mume wangu huwa hatetemeki.
babyDoooh
Foleni ndio mpango.lakini wewe umetupanga foleni[emoji28]
Pole sana. Nyakati yako nawe itafika, ni suala la muda tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mnasifiana mno jamani,,
unakuta KE anamsifia sana Mzee baba kwamba anajua majambozi, shauri yako alafu mashosti wako wakijilingesha mzee baba anapita tu,, alafu unaanza oooh wanaume hawaridhiki jaman, kumbee we ndo umesababisha
unakuta ME anamsifia mchuchu wake kwamba anayajua mapigo ya mwambao, anakupa kula kitu hahahah,, shauri yako mzee baba unasababisha mate yatutoke CC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]dunia duara dada[emoji23]
Hahahaaaa. Lakini anatakiwa ajue siku zote penzi ni kikohozi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mambo ya kuchomona ndo mleta Mada hayataki ati
Muda mwingine unaona wivu kumbe ni mtu mmoja anajisifia.
Fungua Id ya kike ziwe zinasifiana. tena uwe unajitumia na PM mambo baby! haujambo jamani nimekumisije!
Hahahahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mnasifiana mno jamani,,
unakuta KE anamsifia sana Mzee baba kwamba anajua majambozi, shauri yako alafu mashosti wako wakijilingesha mzee baba anapita tu,, alafu unaanza oooh wanaume hawaridhiki jaman, kumbee we ndo umesababisha
unakuta ME anamsifia mchuchu wake kwamba anayajua mapigo ya mwambao, anakupa kula kitu hahahah,, shauri yako mzee baba unasababisha mate yatutoke CC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka lol.Nimebadilisha I'D mpenzi, nakupenda pia mke wangu [emoji7]
Unapofurahi wewe mwenzako huku nafurahi mara 2,,,, hivyo tuambukizane furaha my best friend[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka lol.