Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Ya nn uumie Mkuu

Yakikushinda mtag wako amabaye hayupo JF [emoji57]
Sipendagi ujinga mm, vitu easy kabsa hv

Cc Mwajuma_wangu [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mnasifiana mno jamani,,

unakuta KE anamsifia sana Mzee baba kwamba anajua majambozi, shauri yako alafu mashosti wako wakijilingesha mzee baba anapita tu,, alafu unaanza oooh wanaume hawaridhiki jaman, kumbee we ndo umesababisha

unakuta ME anamsifia mchuchu wake kwamba anayajua mapigo ya mwambao, anakupa kula kitu hahahah,, shauri yako mzee baba unasababisha mate yatutoke CC
Pole sana. Nyakati yako nawe itafika, ni suala la muda tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mnasifiana mno jamani,,

unakuta KE anamsifia sana Mzee baba kwamba anajua majambozi, shauri yako alafu mashosti wako wakijilingesha mzee baba anapita tu,, alafu unaanza oooh wanaume hawaridhiki jaman, kumbee we ndo umesababisha

unakuta ME anamsifia mchuchu wake kwamba anayajua mapigo ya mwambao, anakupa kula kitu hahahah,, shauri yako mzee baba unasababisha mate yatutoke CC
Hahahahahahaaaa
 
Back
Top Bottom