Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Ila kwathread zaleo naamini kuna baadhi ya pm zamademu zitakuwa zimejaa walah maana kuna watu kumbe wanajuana humu vzr zaidi yakufahamiana, Basi namimi jamani naombeni unigaiye hata mmoja walah sitatangazisha humu labda kama utaamua utangazishe mwenyewe.

NB: hakuna anayenifahamu humu jamani hata ndugu zangu najamaa zangu hawajui kama nipo humu sijui nani aliniletaga humu aisee
 


Haya mambo huwa siri ya ndani. Hivi kuna wana ndia huwa wanasifiana humu ?

Bila shaka wafanyao hivyo si wana ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…