Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Hahahah, sasa utapataje mzuka kwa kujitekenya mwenyewe? [emoji23] [emoji23]Muda mwingine unaona wivu kumbe ni mtu mmoja anajisifia.
Fungua Id ya kike ziwe zinasifiana. tena uwe unajitumia na PM mambo baby! haujambo jamani nimekumisije!