janja unayumbaNimebadilisha I'D mpenzi, nakupenda pia mke wangu [emoji7]
niibeHakya 'mama'!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa nini sasa Shemejiwe umecheka ila Mimi nimeona aibu sana
karibia najitoa jf
ujasiri alionao anaweza akajiita jpm[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa nini sasa Shemeji
Avumilie tu, au nae atafute wake.Naona umemua kumchoma Kush.
Sababu ile ni zaidi ya kutonesha kidonda cha watu kubebishana kwake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana, tunaendeleza.Mmeanza..?
[emoji57] [emoji57] [emoji57]sema hakya mama
Na ulale hukohuko.niibe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Muda mwingine unaona wivu kumbe ni mtu mmoja anajisifia.
Fungua Id ya kike ziwe zinasifiana. tena uwe unajitumia na PM mambo baby! haujambo jamani nimekumisije!
[emoji23]Pole sana. Nyakati yako nawe itafika, ni suala la muda tu.
umecheka sanaHahahahahahaaaa
[emoji23] [emoji23]Ila kwathread zaleo naamini kuna baadhi ya pm zamademu zitakuwa zimejaa walah maana kuna watu kumbe wanajuana humu vzr zaidi yakufahamiana, Basi namimi jamani naombeni unigaiye hata mmoja walah sitatangazisha humu labda kama utaamua utangazishe mwenyewe.
NB: hakuna anayenifahamu humu jamani hata ndugu zangu najamaa zangu hawajui kama nipo humu sijui nani aliniletaga humu aisee
sawa mkuuMamichezo ya ma ID Tu hayo usiweweseke kabisa
hapana mkuuHuu uzi nimejua unamhusu nani
wapoHaya mambo huwa siri ya ndani. Hivi kuna wana ndia huwa wanasifiana humu ?
Bila shaka wafanyao hivyo si wana ndoa.
Sijui nimsemee,,hapana mkuu
[emoji23]Sijui nimsemee,,