Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Humu ni story za kupoteza muda hazisisimui ki hivyo unawezaje kusisimka kwa mtu ambaye hujamuona utakuwa na shida wacha waendelee tu kutupa story zinasukuma muda tu
 
Ila kwathread zaleo naamini kuna baadhi ya pm zamademu zitakuwa zimejaa walah maana kuna watu kumbe wanajuana humu vzr zaidi yakufahamiana, Basi namimi jamani naombeni unigaiye hata mmoja walah sitatangazisha humu labda kama utaamua utangazishe mwenyewe.

NB: hakuna anayenifahamu humu jamani hata ndugu zangu najamaa zangu hawajui kama nipo humu sijui nani aliniletaga humu aisee
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom