Naona mmenirushia ndege wangu [emoji4]
Kizuri kula na ndugu yako mkuujanja unayumba
Kiruu,kumbe ni mankaMburaaaah
NgastukaaaaaKiruu,kumbe ni manka
Na machale kundesaNgastukaaaaa
Tabia mbaya hiyo usiponipenda jirani yako unayeniona utampendaje Mungu usiyemuona?Tafuta tu na wewe, ila mie hata sitaki hii kitu
Looh [emoji2] [emoji2] sio muumini wa pm mieTabia mbaya hiyo usiponipenda jirani yako unayeniona utampendaje Mungu usiyemuona?
Haya safari pm.
Basi namba ya simuLooh [emoji2] [emoji2] sio muumini wa pm mie
Kwani humu jf kuna calling [emoji47]Basi namba ya simu
Ila wewe mbona hupendeki lakini???Kwani humu jf kuna calling [emoji47]
Sipendi kuigiza mkuu, kupendwa Mbona nataka sanaIla wewe mbona hupendeki lakini???
Hahaha ushaanza kuniita mkuu ngoja niingie JLWSipendi kuigiza mkuu, kupendwa Mbona nataka sana
Jamani mbona tunaitana hivo wote humu, I sema unataka ufurahi tu[emoji2]Hahaha ushaanza kuniita mkuu ngoja niingie JLW
JLW ndo niniHahaha ushaanza kuniita mkuu ngoja niingie JLW
Hii mkuu ni kaukuta ka kunyimia watu ruhusa za kwenda pmJamani mbona tunaitana hivo wote humu, I sema unataka ufurahi tu[emoji2]
Jukwaa la wakubwaJLW ndo nini
Umeona wenzetu wanapendana hapo?JLW ndo nini