Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Penzi linataka kudukuliwa?!😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo sio mwandiko wa mume wangu MO11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penzi linataka kudukuliwa?!😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo sio mwandiko wa mume wangu MO11
Utawezaji kulificha? Wakohoage tu wapendanaoHahahaaaa. Lakini anatakiwa ajue siku zote penzi ni kikohozi.
😀😀😀Naona umemua kumchoma Kush.
Sababu ile ni zaidi ya kutonesha kidonda cha watu kubebishana kwake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Genuine and real MadameWengine ni real
Hahaaa. Lol.Naona mmenirushia ndege wangu [emoji4]
Furahi tu jamaani Sesten. Maana ukifurahi weye ni sawa nimefurahi na mie. 😂😂😂😂😂😂Najikuta nimefurahi tu kwa comment yako Hajar😛😛😀
Hahaaa. Ndio hapo sasa.Utawezaji kulificha? Wakohoage tu wapendanao
😛😛😛, Bichwa langu linakua kuuuubwa kwa kauli yako hiyo murua na mujarabu kabisa HajarFurahi tu jamaani Sesten. Maana ukifurahi weye ni sawa nimefurahi na mie. 😂😂😂😂😂😂
Haswaaa nataka nikohoe na ile ya kupaliwa na majiHahaaa. Ndio hapo sasa.
Hivyo na weye Sesten wataka ukohoe ili umdolishie Kaka Kush?
hahaha hahaha mkuu we oa tu, [emoji23] [emoji23] [emoji23] natania tu Sesten ZakazakaHaswaaa nataka nikohoe na ile ya kupaliwa na maji
Ila sasa Kush anasema nayeye itampa hasira na mzuka wa kutaka kujua yaliyomo yamo? Ndio uoga wa kukohoa unaingia hapo sasa😀😀😀
aiseeh mkianza yale ya hadharani, wallah ntatamani yaliyomoHahaaa. Ndio hapo sasa.
Hivyo na weye Sesten wataka ukohoe ili umdolishie Kaka Kush?
kudukuaPenzi linataka kudukuliwa?!😀😀😀
onaaa sasa[emoji23]My babe A mi luv u
Nikioa itabidi tufanye mkataba wa amani mkuu, mkataba wa kutoshambualiana, mkataba wa ujirani mwema😀😀😀😀😀hahaha hahaha mkuu we oa tu, [emoji23] [emoji23] [emoji23] natania tu Sesten Zakazaka
leo wapi DompoNiambie mzee baba