Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Hajar popote ulipo ukuje huku Kush kama katoa baraka flani hivi sijazielewaelewa, uje usaide kuchanganua na kufanya uchambuzi sanifu na upembuzi yakinifu😎😎😛😛😉😉
Hahahaaa. Lol.

Ndio uzielewe elewe sasa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila kugugumia ukija kupaliwa dah, dunia nzima itajua kua ulikua wanywa maji kimyakimya..lakini kuna ubaya wakijua? Nadhanikila mtu hua anakunywa maji kukata kiu yake
kupaliwa itakuwa bahati mbaya.

Hakuna ubaya japo kwa Kaka Kush anauona ubaya upo sababu anadolishiwa. Ni kweli usemalo Sesten.
 
Back
Top Bottom