Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Hahahaaa. Lol. Hivyo Kaka angu na weye wajikuta wawatamania. Duuh.

Na wakishajua hali ni hii sidhani kama watapunguza zaidi ya kuongeza ili kuwachoma zaidi mzidi kula kwa macho. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najikuta nimefurahi tu kwa comment yako HajarπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…