Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Wale wenye mahusiano ya Mahaba jf KE/ME,, Mpunguze kusifiana kupita maelezo,, mnasababisha sie tulio Single ME/KE tunaanza kutamani yaliyomoyamo?

Haha..hodi hodiiiii
Naona mafunzo yamepata wafunzaji

Karibuuu, hahahaa....ila sheria ya kambi ni hiviii, ya jandoni yanaishia jandoni ukiyapeleka mtaani mizimu itakasirika itakuadhibu

Utajikuta muda wote wakata mauno tu na kucheza ndombolo kila mahali uendapo😀😀😀
 
Back
Top Bottom