Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Habari wadau ...
Miaka inakwenda hairudi nyuma, kuna wale wenzangu walio na malengo ya kuoa / kuolewa kabla ya mwaka huu wa 2025 haujaisha.
Hebu tupeane mikakati hatua tulizofikia, Inaweza kuwa :
1. Unaye mchumba serious
2.Umetoa / Tolewa Posa
3.Tiyari umetoa/Tolewa mahari
4. Umevisha / Vishwa Pete
5. Umeshafanyiwa Send Off
6. Unasubiria tarehe ifike mfunge ndoa.
Pia Siyo vibaya ukatujulisha namna gani umefanya Jambo lako likafanikiwa kiwepesi au changamoto gani mpaka sasa unakutana nayo Ili wengine waweze kukushauri au kujifunza kutoka kwako pia.
Pamoja na yote tusisahau kumtanguliza Mungu mbele katika mambo yetu kwani adui naye hapendi kuona watu wakipendana na kuishi pamoja.