Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Zimeenda wapi sasa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimeenda wapi sasa hivi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji16]Mwanaume ndevu bana asikwambie mtu "Eti mwanaume unaamka asubuhi hata ndevu huna, unaosha uso utafikiri unaosha embe"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Kweli ndugu unakuwa kama Mzeehalafu ukiwa na ndevu kuwa na mwili kidogo ila ukiwa mwembemeb sana na ndevu au umekonda usoni sana halafu na ndevu duuh inakuwaga noma
Kuna ndevu na uchafu. Unakuta mwanaume mwingine ndevu zimeninyongorota kama mkutano wa nzi. Au mwingine anaziacha kama beberu.
Ndevu kama za level hii au ziongezeke kidogo mimi naona ndio usafi
Hawa vinyozi wana stress sa iv ukiwainulia kdevu wanaweza kuchinja shingona nimeachia uchebe wa maana coz siwaamini vinyozi katika kipindi hiki kigumu cha Corona.
Kunyoa ni lazima.. sometimes ukiangalia namna zilivyo ota [emoji1787][emoji1787] unajiona kama chizi .. every week or two weeks lazima saloon ihusikeNgoja niweke mambo sawa hapa kidogo,ili kila mtu ajiweke mahali anapo husika.
Kuna watu wa sampuli tatu, mmoja kati ya hao anajifananisha na wanawake.
1. Mwenye ndevu,kisha akazifuga na kuzitunza.
2. Ambae ni mwanaume lakini hakujaaliwa ndevu kama maumbile yake, huyu halaumiwi sababu hili ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wake.
3. Mwenye ndevu lakini anazinyoa huyu anajifananisha na mwanamke, sababu kiasili mwanamke huwa hana ndevu, na ukimkuta anazo ujue hilo sio jambo la kawaida.
Ziada inafata .......
aisee cjui ni kwann kwenye edges moustache unakua haraka kulko katiKunyoa ni lazima.. sometimes ukiangalia namna zilivyo ota [emoji1787][emoji1787] unajiona kama chizi .. every week or two weeks lazima saloon ihusike
mimi hizi za juu , za kuitwa mustache, hazina uwiano sawa kwenye ujuaji , pemben kulia na kushoto zinakua haraka mara tatu zaid ya eneo la kati , yani unakua kama kituko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kama beberu mkuu.we kama unamajua beberu basi ndo kama zile.hata uso wangu ni uso wa mbuzi[emoji23]
Mkuu unajiamni sana hongeraMwanaume nduvu bhana kama ww ni mwanaume na hauna ndevu usitudanganye hapa huwa unajiona mwanamke na kuvuta na kujilaumu sana kwann Mungu hajakupa ndevu unatamani hata kuziotesha kwa fedha sema ndo huna hizo hera tu[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1399934
Bora ww una uso wa mbuz na ndevu kama beberu mm ni uso wa limao na ndevu sjui utanfanansha na nn[emoji23][emoji23]kama beberu mkuu.we kama unamajua beberu basi ndo kama zile.hata uso wangu ni uso wa mbuzi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora ww una uso wa mbuz na ndevu kama beberu mm ni uso wa limao na ndevu sjui utanfanansha na nn[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Uwe na ndevu na 6 pack tunazimia! Sio ndevu, one pack Halafu mfupi tutakiona ancestor!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji87] [emoji87] [emoji87] Unataka kufanya ndevu ziziote ili ugundue nini ?