Wale wenye ndevu tukutane hapa

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji16]
 
Kunyoa ni lazima.. sometimes ukiangalia namna zilivyo ota [emoji1787][emoji1787] unajiona kama chizi .. every week or two weeks lazima saloon ihusike

mimi hizi za juu , za kuitwa mustache, hazina uwiano sawa kwenye ujuaji , pemben kulia na kushoto zinakua haraka mara tatu zaid ya eneo la kati , yani unakua kama kituko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee cjui ni kwann kwenye edges moustache unakua haraka kulko kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja namimi nichangie hapa
Japo ninazo kidogo kidevuni na Sharubu za babu
 
Mwanaume nduvu bhana kama ww ni mwanaume na hauna ndevu usitudanganye hapa huwa unajiona mwanamke na kuvuta na kujilaumu sana kwann Mungu hajakupa ndevu unatamani hata kuziotesha kwa fedha sema ndo huna hizo hera tu[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwe na ndevu na 6 pack tunazimia! Sio ndevu, one pack Halafu mfupi tutakiona ancestor!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…