Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,644
- 2,300
Nahitaji kuingia rasmi kwenye biashara hii
Naomba msaada wenu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada wenu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kuingia rasmi kwenye biashara hii
Naomba msaada wenu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongezeana maarifa so mbaya!Fanya research yako acha uvivu!
Sent using Sukhoi Su-57
Nomeshaanza kukata nondo leo!Fanya "Juuchini" udukue vilivyo uifahamu kwa undani kabla haujaingia kichwakichwa, usemi wa 'wajinga ndiyo waliwao' uko mbioni kukuhusu.
Umefanya vyema,endeleza nondo hizo.
Mkuu hutajali nikufuate pm!Be less emotional, train your mind to not catch any feelings after attaining that level of higher self. Then after learn how to trade you'll tell me.
Rafiki yangu kafilisiwa hela alizokopa kwenye hayo mambo ya FOREX kawa kama zezetaNahitaji kuingia rasmi kwenye biashara hii
Naomba msaada wenu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ujanja wa forex sina lakini kama upo kwenye stock market na unaitaka hio group ya Discord naweza kutumia link yake.