St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yan we umeshindwa kutrade unataka utajirike kupitia commission, type ya watu kama nyie ndo mnao danga kwenye forexSasa wale walio kuwa wana boreka na Spread za templer, hatimaie Tickmil ambaye ni ECN broker mwenye Zero spread anatuletea huduma ya kuweke pesa na kutoa kama Templer yaan kwa simu.
Ukitaka klujiunga ingia hapa ufungue account: Global Forex & CFD Broker | Tickmill | FCA UK Regulated
ukipata changamoto yoyote njoo inbox
KAMA NDIO UNAANZA TRADE hii ndio Account bora zaid kwako: bonyeza hii link ujaze detail zako kufungua account:
Classic Account | Forex Trading Account | Tickmill
Jiungeee hapa kwa telegramNahitaji kuingia rasmi kwenye biashara hii
Naomba msaada wenu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
ni biashara nzuri na ina malipo mazuri mimi naifanya kama mwaka sasa ilakikubwa ni kwamba pata mtu atakaekuelekeza vizuri na usiwe mvivu na jifunze kwa kupitia vitabu na seminars mbali mbali na usiwe na haraka ya mafanikioNahitaji kuingia rasmi kwenye biashara hii
Naomba msaada wenu jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
JF bana lol.
Mimi mwenyewe nina discord. Hilo group ulijiunga kutoka reddit?Nimegundua kitu kimoja kila ikija mada ya kuekeza utaona watu wanaishupalia. Lakini njia namba 1 inayomtoa mtu kimaisha ni uwekezaji kwenye stock market. Nipo kwenye group moja ya Discord kiongozi wa hii group, ametengeneza 1 million kwa miezi 9 tu lakini goli lake ilikuwa miezi 10. Sijui kuhusu forex lakini pia cryptocurrency inaweza kukutoa kimaisha vizuri tu. Bila kusahau usijiingize kwenye uwekezaji bila ya kusoma na kufanya research yako mwenyewe, sio kufata mkumbo na maneno ya mtu tu.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hapana kwenye stocktwitsMimi mwenyewe nina discord. Hilo group ulijiunga kutoka reddit?
Kama una link ya hilo group kama Inawezekana kunitumia ningeshukuru sanaHapana kwenye stocktwits
Sorry kwa kuchelewa kujibu mapema nilikuwa busy, hizi link za group 3 tofauti mimi ndio nimo kwa miaka sasa.Kama una link ya hilo group kama Inawezekana kunitumia ningeshukuru sana
Nakushukuru sana kaka... Ubarikiwe mpaka ushangaeSorry kwa kuchelewa kujibu mapema nilikuwa busy, hizi link za group 3 tofauti mimi ndio nimo kwa miaka sasa.
![]()
Chat Room — Noremac Newell Trading
www.noremacnewelltrading.com
Join the Royalty Trading Discord Server!
Check out the Royalty Trading community on Discord - hang out with 8153 other members and enjoy free voice and text chat.discord.gg
![]()
Discord - Group Chat That’s All Fun & Games
Discord is great for playing games and chilling with friends, or even building a worldwide community. Customize your own space to talk, play, and hang out.discord.gg
Tubarikiwe kwa wote dada yangu. Nakutakia mafanikio memaNakushukuru sana kaka... Ubarikiwe mpaka ushangae
Tubarikiwe kwa wote dada yangu. Nakutakia mafanikio mema
Ukiingia kwenye hizi group kuna vyumba tofauti hicho cha main floor ni stockmarket tu. Lakini options na forex pia zipo. Na kuna chumba cha maswali tu kiufupi ukiingia utajifunza mengi jipe muda tu.Mkuu kama hutojali..hzo link ni kwa ajili ya stocks au forex?
Ukiingia kwenye hizi group kuna vyumba tofauti hicho cha main floor ni stockmarket tu. Lakini options na forex pia zipo. Na kuna chumba cha maswali tu kiufupi ukiingia utajifunza mengi jipe muda tu.