Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

Sasa wale walio kuwa wana boreka na Spread za templer, hatimaie Tickmil ambaye ni ECN broker mwenye Zero spread anatuletea huduma ya kuweke pesa na kutoa kama Templer yaan kwa simu.

Ukitaka klujiunga ingia hapa ufungue account: Global Forex & CFD Broker | Tickmill | FCA UK Regulated
ukipata changamoto yoyote njoo inbox

KAMA NDIO UNAANZA TRADE hii ndio Account bora zaid kwako: bonyeza hii link ujaze detail zako kufungua account:
Classic Account | Forex Trading Account | Tickmill
yan we umeshindwa kutrade unataka utajirike kupitia commission, type ya watu kama nyie ndo mnao danga kwenye forex
 
Nimegundua kitu kimoja kila ikija mada ya kuekeza utaona watu wanaishupalia. Lakini njia namba 1 inayomtoa mtu kimaisha ni uwekezaji kwenye stock market. Nipo kwenye group moja ya Discord kiongozi wa hii group, ametengeneza 1 million kwa miezi 9 tu lakini goli lake ilikuwa miezi 10. Sijui kuhusu forex lakini pia cryptocurrency inaweza kukutoa kimaisha vizuri tu. Bila kusahau usijiingize kwenye uwekezaji bila ya kusoma na kufanya research yako mwenyewe, sio kufata mkumbo na maneno ya mtu tu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Mimi mwenyewe nina discord. Hilo group ulijiunga kutoka reddit?
 
Kama una link ya hilo group kama Inawezekana kunitumia ningeshukuru sana
Sorry kwa kuchelewa kujibu mapema nilikuwa busy, hizi link za group 3 tofauti mimi ndio nimo kwa miaka sasa.
 
Sorry kwa kuchelewa kujibu mapema nilikuwa busy, hizi link za group 3 tofauti mimi ndio nimo kwa miaka sasa.
Nakushukuru sana kaka... Ubarikiwe mpaka ushangae
 
Mkuu kama hutojali..hzo link ni kwa ajili ya stocks au forex?
Ukiingia kwenye hizi group kuna vyumba tofauti hicho cha main floor ni stockmarket tu. Lakini options na forex pia zipo. Na kuna chumba cha maswali tu kiufupi ukiingia utajifunza mengi jipe muda tu.
 
Ukiingia kwenye hizi group kuna vyumba tofauti hicho cha main floor ni stockmarket tu. Lakini options na forex pia zipo. Na kuna chumba cha maswali tu kiufupi ukiingia utajifunza mengi jipe muda tu.

Poa ....thx for a reply
 
Back
Top Bottom