Wale wenye sera ya Majimbo waangalie Ethiopia

Chadema ni wachaga Wana mentality za kikabila Sana. Unajua Kilimakyasharo Haina tofauti na Kenya kabisa kikabila. Kafungue biashara Moshi uone kama utauza.
Wachaga wenyewe wanabaguana huko kwao Mana mrombo hanunui kwa mmachame ni mwendo wa kwa mrombo mwenzao..
Yaani ukabila unatakiwa kuisha na udini.
Kuwa na Imani yako kivyako unavyojua weee.
 
Unajiona una akili... Kumbe mbumbumbu! Waangalie pia RSA, Japan, Canada...
 
KWA SABABU SHUKA NYEUPE DOA KIDOGO TU LIMEONEKANA
Bad choice for an example. Kwanini tusiangalie US, India, Kenya, Afrika Kusini, Brazil, n.k? Kwanini unatulazimisha tuiangalie Ethiopia peke yake? Kwanini tusiangalie hata Afghanistan?
 
Mimi ni mfuasi wa upinzani ila sikubaliani na sera za majimbo
 
Huo mfumo wa chadema wenyewe haa hawauishi. Wamekimbia wlikozaliwa wengine wako Dar, Mwanza na kqingineko. Hawayaaa hayo maimbo yo
 
Kwa nini tusiangalie Ujerumani
 
Kwa mfumo tulio nao sasa wa uongozi, ngazi za mikoa inatakiwa hawa watendaji waombe kazi na kufanyiwa interview. Wakulugenzi na watendaji wote.

Wakuu wa mikoa watolewe tu hawana faida wanaongeza tu gharama za serikali. Mawaziri wote waombe kazi kama watendaji wengine na kupitishwa na bunge kwa kujadiliwa na kihojiwa.
 
Hii ninpropaganda ya kitoto kabisa na chuki dhidi ya wachagga. Unajisemea kwa kuwa una uhuru wa kutoa maoni hata kama hayana ukweli wowote.
 
Hii ninpropaganda ya kitoto kabisa na chuki dhidi ya wachagga. Unajisemea kwa kuwa una uhuru wa kutoa maoni hata kama hayana ukweli wowote.
Mpaka gari hizi basi hawapandi wakishajua ni ya chasaka.
Mie Sina chuki Ila ninachukia Tabia zako ulizo nazo. Kwani nayoongea ni uwongo
Ukiwa Kanda hiyo hapo wasipokujua ni kabila gani swali lao utasikia "" aisee wewe ni mtu wa wapi"" namwambia mi ni kyasaka ama kishoia
 
Kwani hapa kwetu tunapogawa mikoa midogo midogo mingi hailengi ukabila? Je hatujaanza hilo? Utanielewa baadae tukiwa tumechelewa
 
Bad choice for an example. Kwanini tusiangalie US, India, Kenya, Afrika Kusini, Brazil, n.k? Kwanini unatulazimisha tuiangalie Ethiopia peke yake? Kwanini tusiangalie hata Afghanistan?
Kwani kenya na na afrika ya kusini unaona wako vizuri kuhusu umoja wa kitaifa? Pia inategemeana majimbo wanakua na madaraka ya aina gani. Huko kenya india na afrika ya kusini majimbo hayahi hadi na majeshi ya kivita yanayoweza kutishia kujitenga na serikali kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…