Kuna mengi zaidi ya hilo, You got to know her before anything wasungu wanasema😂Yeye anakuwa amekuja kufanya nini huko gheto kwako?
Binti wa kike atakuja kwako kufanya nn? Embu toa hata mfano tu halisi kuwa huyu huwa anakuja lets say kuota moto na si sababu ingine halafu nitakuuliza swali.Kuna mengi zaidi ya hilo, You got to know her before anything wasungu wanasema😂
nateseka sana Boss, hizo pisi ndio zenyeweKwani unateseka mkuu
nimefanya hili last year,nimeingia Lodge na pisi yangu baada ya kutoka club kufika bed nikaangusha zangu akaja na yeye tukalala mpaka asubuhi sijamgusa na ilikuwa mara ya kwanza kulala naye,i knew kwamba atakuwepo tu siku zoteNa kutaka kula kitu kizuri usionyeshe uchu mkuu.
Hii vichana vya kuokoteza...tongoza na kula papo hapo ujue uko chaka na pia hujiheshimu kabisa.
Watu wawili tofauti...Em twende ukaweke story kwenye jukwaa letu pendwa kule la kula kimasihara
Au wewe ndo unatumia ID ya Mpembawise?
Basi you got bad luck, Wengi wao nilio wafanyia hivyo wametoa tunda kweupeee😂1. Unless huyo mwanamke ni ndugu yako, mwanamke yoyote anapokuja nyumbani kwako na kukubali ulale nae chumba kimoja, huyo mwanamke anakua yupo tayari kwa lolote japo hatakuambia na anaweza akakataa kataa mwanzoni. Yaani labda sijui iweje labda muwe hamjawahi kabisa kua na hisia za kimapenzi.
2. Katika maisha yangu, wanawake wachache ambao nimewahi kulala nao chumba kimoja na nikajidai gentleman bila kuwasumbua, sikuja kuwahi kuwala tena asilani na wengi hata urafiki ulikufa kabisa!
😂Hayo ni mambo ya kufikirika sana!
Good! Mimi nazani kuwaeshimu sometimes, Ukiwa chovyachovya nayo sio nzuri, Kuna wanawake wanapenda life unaloishi wanakuja kula kuangalia movies Anajua hata siku akiwa hana hisia huwezi kulazimisha.Safi sana mtoa mada
Nlikua nnapatana sana na watoto wa mwenye nyumba enzi hizo walikua wakaka tu Twins wanafananaa kila kitu.
Siku hiyo walinitoa out tukaenda club na marafiki zao club ikaisha tukaenda nyumbn kwa yule rafiki yao wakalala kwwnye kochi mm na twin mmoja tukalala kitandani safi kabisa bila bugudhaa na wote walikua wamelewa kasoro mm situmii kilevi , although niliogopa but sio kwa respect ile waliyonipa
Kwenye hili malezi nayo yanachangia
Sio wote wanakuja kufanya tendo, Unaweza kumkaribisha wewe kichwani kwako ukajiwekea kwamba lazima nipige wakati yeye akijipa options mbili either nimpe au nisimpe. So akiondoka bila mkwaju kwake sawa, pia ukimpa mkwaju kwake sawa. Huwezi kujua 100% kama alikuja kwa specific reason kwamba ulimualika au Lah! Anaweza kukwambia nakuja kula kumbe alikuwa na attention nyingine, Anaweza Sema anakuja kulala kumbe amekuja kupiga kibom, Na anajua akikunyima unyumba huwezi kumpa so kama ukitaka inabidi umpe, lakini usipo mpiga mkwaju pia ni sawa.Binti wa kike atakuja kwako kufanya nn? Embu toa hata mfano tu halisi kuwa huyu huwa anakuja lets say kuota moto na si sababu ingine halafu nitakuuliza swali.
Hoja yako ina mantiki ikiwa wanakuja kwa sababu tofauti na kufanya ngono na ukajua kisha ukaheshimu.
Bwana eeh.. hawa watu unadhani wana maana basi? Wewe unaweza kujidai unamheshimu kumbe mwenzio akitoka apo anaenda kukunanga kwa mashosti zake kwamba yule jamaa hamna lolote joka la kibisa lile.Good! Mimi nazani kuwaeshimu sometimes, Ukiwa chovyachovya nayo sio nzuri, Kuna wanawake wanapenda life unaloishi wanakuja kula kuangalia movies Anajua hata siku akiwa hana hisia huwezi kulazimisha.
Kwa sisi wenye wake vipi tunaruhusiwa kuchangia au hii inawahusu wale wasio owa/kuolewa...?Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue.
Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo mwilini mwako, So hata Abdal unaweza kumzuia asikuongoze yeye.
Tabia hii imenijengea uaminifu, kunipa credit na ustarabu katika mapenzi na wanawake wengi kubaki kujiuliza unawezaje kufanya hivi, Wengi watazani naumwa au Ninamatatizo kwa ufupi, Usijarjbu kuniruhusu nimtembelee Dada yako au hata mpenzi wako, Itabiki kwake.
Nilichojifunza juu ya uwezo huu, unamjengea mwanamke confidence ya kuwa na Amani na ulinzi akiwa kwako, Pia unampa freedom ya kuchagua, wengi wetu wanaume wabongo ni tunawabaka tu, mtu anakwambia akingiia ghetto hatoki bila kuguswa, hiyo ni dhana tu.
Note: Kwa wale wanawake wenye majivuno, vidomodomo tafadhali usitumie hii strategic utaumia, Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.View attachment 2126204
Wewe ni mwanaume wafunze wenzio wawe kama ww mkuuKwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue.
Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo mwilini mwako, So hata Abdal unaweza kumzuia asikuongoze yeye.
Tabia hii imenijengea uaminifu, kunipa credit na ustarabu katika mapenzi na wanawake wengi kubaki kujiuliza unawezaje kufanya hivi, Wengi watazani naumwa au Ninamatatizo kwa ufupi, Usijarjbu kuniruhusu nimtembelee Dada yako au hata mpenzi wako, Itabiki kwake.
Nilichojifunza juu ya uwezo huu, unamjengea mwanamke confidence ya kuwa na Amani na ulinzi akiwa kwako, Pia unampa freedom ya kuchagua, wengi wetu wanaume wabongo ni tunawabaka tu, mtu anakwambia akingiia ghetto hatoki bila kuguswa, hiyo ni dhana tu.
Note: Kwa wale wanawake wenye majivuno, vidomodomo tafadhali usitumie hii strategic utaumia, Mimi pia sikuitumia kwa wanawake wote kwa kuwa kuna wengine watakufedhehesha.View attachment 2126204
Imenikumbusha demu mmoja nilikua namkubali sana na yeye alitokea kunielewa kinoma, basi wenyewe tunaitana swahiba full kubebishana ila hakuna aliewahi kumfungukia mwenzie(kumtongoza)Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka sala getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.
1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.
2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.
3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.
...Ninaposema kutonaozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:
-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.
Mavumba isiwe kigezo lkn[emoji38][emoji38]
Kuna wanyama hawahitaji kukimbizwa sijui na upinde, mapanga na mbwa juu, bali unatega tu na unanasa.Imenikumbusha demu mmoja nilikua namkubali sana na yeye alitokea kunielewa kinoma, basi wenyewe tunaitana swahiba full kubebishana ila hakuna aliewahi kumfungukia mwenzie(kumtongoza)
Basi uswahiba ukawa uswahiba huku tunamezeana mate, weekend moja swahiba akaniambia anataka kuja kunitembelea gheto, mi nikamkaribisha na kumuuliza mgeni rasmi ungependa nikuandalie nini?
Basi nikamuandalia cha kumuandalia swahiba wangu, alipokuja tukapiga story vicheko na utani kama wote mixer kumbebisha swahiba wangu, ilipofika mida ya giza swahiba akaomba twende chumbani akajinyooshe mgongo kidogo maana unamuuma, basi nikamshika mkono tukaingia chumbani akajitupa zake kitandani,
Story story huku namtomasa tomasa mixer kumbusubusu, alivyoanza kukolea nikataka kumvua suruali yake si akanichenjia banaaaa, eti sisi ni maswahiba tu, nikatabasamu halafu nikamwambia sawa swahiba wala usijali, basi tukaendelea kupiga story mpk ilipofika muda wa yeye kutaka kuondoka nikamwambia asubiri kama dakika 10 hivi nikaoge halafu nimsindikize.
Basi nikavua nguo zote mbele yake, swahiba ananikodolea mimacho tu, nikachua taulo nikaweka begani nikazama bafuni.
Kutoka bafuni hivyohivyo nikavua taulo nikaanza kujifuta na kujipaka mafuta yeye ndio akaanza kujiongelesha, swahiba mi mtoto bana nisije nikaota bure, mi nikajichea kinafki nikamwambia swahiba ya kawaida tu haya wala huwezi kuota.
Basi nikavaa nikamsindikiza mpaka kwao.
Baada ya siku mbili tunapiga story na swahiba anakiambia ki ukweli swahiba wewe ni mwanaume wa pekee sana, siamini kama juzi uliniacha hivihivi kwa kweli?
Nikamjibu swahiba kwani juzi ulitaka nikubake?
Akabaki kimyaaaa ndio nikaanza kumchana live, mi sio mwanaume wa hivyo swahiba, sitafurahi uswahiba wangu na wewe ufe kisa kukulazimisha tufanye mapenzi, na pia huwezi jua mtu anapokataa kufanya mapenzi na wewe huenda kuna jambo anakuepusha hataki likupate.
Swahiba akadakia sio hivyo bwana, basi swahiba jumapili ijayo nakuja nikuogeshe maana siku ile umeoga mwenyewe hata mgongo haujausugua vizuri.
Jumapili ijayo ndio tukauzika rasmi uswahiba wetu.
Safi lets way leads don't leads the way🤣 #SIJAZALIWA UINGEREZAImenikumbusha demu mmoja nilikua namkubali sana na yeye alitokea kunielewa kinoma, basi wenyewe tunaitana swahiba full kubebishana ila hakuna aliewahi kumfungukia mwenzie(kumtongoza)
Basi uswahiba ukawa uswahiba huku tunamezeana mate, weekend moja swahiba akaniambia anataka kuja kunitembelea gheto, mi nikamkaribisha na kumuuliza mgeni rasmi ungependa nikuandalie nini?
Basi nikamuandalia cha kumuandalia swahiba wangu, alipokuja tukapiga story vicheko na utani kama wote mixer kumbebisha swahiba wangu, ilipofika mida ya giza swahiba akaomba twende chumbani akajinyooshe mgongo kidogo maana unamuuma, basi nikamshika mkono tukaingia chumbani akajitupa zake kitandani,
Story story huku namtomasa tomasa mixer kumbusubusu, alivyoanza kukolea nikataka kumvua suruali yake si akanichenjia banaaaa, eti sisi ni maswahiba tu, nikatabasamu halafu nikamwambia sawa swahiba wala usijali, basi tukaendelea kupiga story mpk ilipofika muda wa yeye kutaka kuondoka nikamwambia asubiri kama dakika 10 hivi nikaoge halafu nimsindikize.
Basi nikavua nguo zote mbele yake, swahiba ananikodolea mimacho tu, nikachua taulo nikaweka begani nikazama bafuni.
Kutoka bafuni hivyohivyo nikavua taulo nikaanza kujifuta na kujipaka mafuta yeye ndio akaanza kujiongelesha, swahiba mi mtoto bana nisije nikaota bure, mi nikajichea kinafki nikamwambia swahiba ya kawaida tu haya wala huwezi kuota.
Basi nikavaa nikamsindikiza mpaka kwao.
Baada ya siku mbili tunapiga story na swahiba anakiambia ki ukweli swahiba wewe ni mwanaume wa pekee sana, siamini kama juzi uliniacha hivihivi kwa kweli?
Nikamjibu swahiba kwani juzi ulitaka nikubake?
Akabaki kimyaaaa ndio nikaanza kumchana live, mi sio mwanaume wa hivyo swahiba, sitafurahi uswahiba wangu na wewe ufe kisa kukulazimisha tufanye mapenzi, na pia huwezi jua mtu anapokataa kufanya mapenzi na wewe huenda kuna jambo anakuepusha hataki likupate.
Swahiba akadakia sio hivyo bwana, basi swahiba jumapili ijayo nakuja nikuogeshe maana siku ile umeoga mwenyewe hata mgongo haujausugua vizuri.
Jumapili ijayo ndio tukauzika rasmi uswahiba wetu.
Sahihi kabisa, Tuache maji yafwate mkondo tusilazimisheKuna wanyama hawahitaji kukimbizwa sijui na upinde, mapanga na mbwa juu, bali unatega tu na unanasa.
Ninachukia kutongoza tongoza hovyo...naona sio ustaarabu.
Kuna vitu ukivifanya ni rahisi kufikia lengo kuliko tongoza tongoza.