Labda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka sala getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.
1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.
2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.
3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.
...Ninaposema kutonaozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:
-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.
Mavumba isiwe kigezo lkn[emoji38][emoji38]
Imenikumbusha demu mmoja nilikua namkubali sana na yeye alitokea kunielewa kinoma, basi wenyewe tunaitana swahiba full kubebishana ila hakuna aliewahi kumfungukia mwenzie(kumtongoza)
Basi uswahiba ukawa uswahiba huku tunamezeana mate, weekend moja swahiba akaniambia anataka kuja kunitembelea gheto, mi nikamkaribisha na kumuuliza mgeni rasmi ungependa nikuandalie nini?
Basi nikamuandalia cha kumuandalia swahiba wangu, alipokuja tukapiga story vicheko na utani kama wote mixer kumbebisha swahiba wangu, ilipofika mida ya giza swahiba akaomba twende chumbani akajinyooshe mgongo kidogo maana unamuuma, basi nikamshika mkono tukaingia chumbani akajitupa zake kitandani,
Story story huku namtomasa tomasa mixer kumbusubusu, alivyoanza kukolea nikataka kumvua suruali yake si akanichenjia banaaaa, eti sisi ni maswahiba tu, nikatabasamu halafu nikamwambia sawa swahiba wala usijali, basi tukaendelea kupiga story mpk ilipofika muda wa yeye kutaka kuondoka nikamwambia asubiri kama dakika 10 hivi nikaoge halafu nimsindikize.
Basi nikavua nguo zote mbele yake, swahiba ananikodolea mimacho tu, nikachua taulo nikaweka begani nikazama bafuni.
Kutoka bafuni hivyohivyo nikavua taulo nikaanza kujifuta na kujipaka mafuta yeye ndio akaanza kujiongelesha, swahiba mi mtoto bana nisije nikaota bure, mi nikajichea kinafki nikamwambia swahiba ya kawaida tu haya wala huwezi kuota.
Basi nikavaa nikamsindikiza mpaka kwao.
Baada ya siku mbili tunapiga story na swahiba anakiambia ki ukweli swahiba wewe ni mwanaume wa pekee sana, siamini kama juzi uliniacha hivihivi kwa kweli?
Nikamjibu swahiba kwani juzi ulitaka nikubake?
Akabaki kimyaaaa ndio nikaanza kumchana live, mi sio mwanaume wa hivyo swahiba, sitafurahi uswahiba wangu na wewe ufe kisa kukulazimisha tufanye mapenzi, na pia huwezi jua mtu anapokataa kufanya mapenzi na wewe huenda kuna jambo anakuepusha hataki likupate.
Swahiba akadakia sio hivyo bwana, basi swahiba jumapili ijayo nakuja nikuogeshe maana siku ile umeoga mwenyewe hata mgongo haujausugua vizuri.
Jumapili ijayo ndio tukauzika rasmi uswahiba wetu.