HahahaSafi lets way leads don't leads the way[emoji1787] #SIJAZALIWA UINGEREZA
Kabisa, halafu watuchora hapa hawakomenti wanapita kama hawaoni[emoji16]Sahihi kabisa, Tuache maji yafwate mkondo tusilazimishe
Kwa mke ni kitu cha kawaida, huwezi kuwa unampasua mke kila siku, lakini Vipi enzi zako za kabla hujaoa unazungumzaje upande huo?Kwa sisi wenye wake vipi tunaruhusiwa kuchangia au hii inawahusu wale wasio owa/kuolewa...?
Ni nzuri sana kama mwanamke akihitaji kuliko mwanaume kuhitaji.Wewe ni mwanaume wafunze wenzio wawe kama ww mkuu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hili nalo tatizo lenu.Huyo mwanaume atakuwa shoga.
Ni nzuri sana mkihitajiana.Ni nzuri sana kama mwanamke akihitaji kuliko mwanaume kuhitaji.
Kuacha kumchapa mwanamke haimanishi au haipimi kipimo cha uanaume, Kuna mengi zaidi ya hayo, kuna watu unawaheshimu na kuwapenda kwani ulishawahi kulala nao? Hiyo ni dhana tu, mwanamke ni rafiki kama marafiki wengine.Huyo mwanaume atakuwa shoga.
Nahisi tabia zangu na zako zinataka kufanana.Kuna wanyama hawahitaji kukimbizwa sijui na upinde, mapanga na mbwa juu, bali unatega tu na unanasa.
Ninachukia kutongoza tongoza hovyo...naona sio ustaarabu.
Kuna vitu ukivifanya ni rahisi kufikia lengo kuliko tongoza tongoza.
Kipindi kile nakumbuka hata mkojo ukikojoa ulikuwa unaruka mbali kweli😀😀...Kwa mke ni kitu cha kawaida, huwezi kuwa unampasua mke kila siku, lakini Vipi enzi zako za kabla hujaoa unazungumzaje upande huo?
Naona hata uandishi ni tofautiWatu wawili tofauti...
Kuna dada mmoja chotara wa kikaburu na kihehe, aliiuwa mshirika kibiashara, kwa kweli alikuwa na kila sifa.Nahisi tabia zangu na zako zinataka kufanana.
Binafsi sipendi kutongoza tongoza hovyo, ile tabia mwanamke hata humjui ndio kwanza umemuona mara ya kwanza au ya pili tayari umeshamtongoza mimi hapana kwa kweli, binafsi hua nnaanza kutongoza kwanza kwa hisia, hua nnaacha macho na tabasamu langu lifanye kazi yake ipasavyo, hisia zikishashonana hua situmii nguvu kubwa ya maneno kwenye ushawishi mara nyingi tunajikuta tayari tumeshakulana au mwanamke ndio anaanza kujibebisha mwenyewe na kuniita kwa yale majina matamu matamu kabla ya mimi kufungua mdomo wangu.Kuna wanyama hawahitaji kukimbizwa sijui na upinde, mapanga na mbwa juu, bali unatega tu na unanasa.
Ninachukia kutongoza tongoza hovyo...naona sio ustaarabu.
Kuna vitu ukivifanya ni rahisi kufikia lengo kuliko tongoza tongoza.
Na kama mwanamke unahisi hajakuelewa plz usijichoreshe kumtongoza.Binafsi sipendi kutongoza tongoza hovyo, ile tabia mwanamke hata humjui ndio kwanza umemuona mara ya kwanza au ya pili tayari umeshamtongoza mimi hapana kwa kweli, binafsi hua nnaanza kutongoza kwanza kwa hisia, hua nnaacha macho na tabasamu langu lifanye kazi yake ipasavyo, hisia zikishashonana hua situmii nguvu kubwa ya maneno kwenye ushawishi mara nyingi tunajikuta tayari tumeshakulana au mwanamke ndio anaanza kujibebisha mwenyewe na kuniita kwa yale majina matamu matamu kabla ya mimi kufungua mdomo wangu.
Namshukuru Mungu unaenda mwaka wa pili sasa nilishaachana na hizo habari, hata nyumbani sasa hivi furaha imeongezeka sana sana.Na kama mwanamke unahisi hajakuelewa plz usijichoreshe kumtongoza.
Safi sana.Namshukuru Mungu unaenda mwaka wa pili sasa nilishaachana na hizo habari, hata nyumbani sasa hivi furaha imeongezeka sana sana.
Mwanzoni furaha yangu nilikua naitafuta kwa michepuko ila baada ya kukaa na kutafakari sana nikaona huu unakua kama utumwa fulani hivi wa hisia, nikaamua rasmi furaha yangu nianze kuitafuta kupitia kwa mke wangu pamoja na wanangu, mwanzo ilikua ni ngumu sana ila taratibu taratibu sasa hivi najikuta nina furaha na amani zaidi nikiwa nimekaa na wife kuliko mtu mwingine yoyote, yaani yale mapenzi yangu kwa wife kile kipindi cha uchumba ndio sasa hivi nateseka nayo.
Leo nasoma tu commentHeaven Sent usipite kimya[emoji16]
Haha mnatuchora tuLeo nasoma tu comment