Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

Kwa sisi wenye wake vipi tunaruhusiwa kuchangia au hii inawahusu wale wasio owa/kuolewa...?
Kwa mke ni kitu cha kawaida, huwezi kuwa unampasua mke kila siku, lakini Vipi enzi zako za kabla hujaoa unazungumzaje upande huo?
 
Huyo mwanaume atakuwa shoga.
Hili nalo tatizo lenu.
Huwa mnaamini kuwa ukimtaka mwanaume lazima umpate, nikuhakikishie sio wote.

Mwanaume anayejitambua hawezi kuvua kila mwanamke na hawezi kukubali kila ombi la mwanamke.
Mimi pia nisipokutaka hata uwe uchi na unilalie sikupi.
Kwanza ninachukia sana mwanamke mrahisirahisi.
 
Kuna wanyama hawahitaji kukimbizwa sijui na upinde, mapanga na mbwa juu, bali unatega tu na unanasa.
Ninachukia kutongoza tongoza hovyo...naona sio ustaarabu.
Kuna vitu ukivifanya ni rahisi kufikia lengo kuliko tongoza tongoza.
Nahisi tabia zangu na zako zinataka kufanana.
 
Nahisi tabia zangu na zako zinataka kufanana.
Kuna dada mmoja chotara wa kikaburu na kihehe, aliiuwa mshirika kibiashara, kwa kweli alikuwa na kila sifa.
Pamoja na kuumbika kwake haikunifanya nimtake kwani nilijua fika biashara na mapenzi haviendani.
Kuna wakati tulisafiri pamoja kwenda Nairobi.

Tulifikia hoteli niliyoizoea na ilikuwa usiku sana..
Bahati mbaya ilipatikana room 1 na kwa jinsi usiku ulivyoingia ilishindikana kupata room nyingine.
Nilimwambia wewe lala kitandani mimi nitakaa kwenye sofa ya mtu mmoja...kulala kwa kukaa.
Ilibidi tudizime taa...aliiuwa anashindwa kulala vizuri..ana amka amka kila mara...mwishowe akaniita G njoo ulale kitanda ni kipana.

Nilipanda na kulala mwanzoni mwa kitanda...to be honest nililala bila kugeuka lkn kila mara nilimsikia akigeuka geuka na kushtuka lkn sikutaka kujua kulikoni...kwanini?

Sikutaka aone nachukulia advantage ya mazingira kumtaka kusex naye....na nilijitahidi kuzi control hisia zangu na niliweza bila tatizo hatimaye palikucha salama na tukaendelea na mishe zetu na jioni tukarudi nchini.

Tukiwa njiani akaanza kufunguka alivyoteseka na hakuamini kuwa nitamwacha salama.

Nikamwambia...huwa sifanyi sex kama ajali, pili nikikuhitaji kabla ya kukutamkia lazima nijione ndani mwako ndipo sasa nitakua huru kukutaka.
Nikampa na faida za kufanya hivyo....H aliniheshimu sana sana kitendo cha kumwacha salama na urafiki wetu ulizidi maradufu...tulipoishia...tuyaaache[emoji28][emoji28][emoji28]

Nasikitika kuwa H alifariki baadae kwa kipigo cha majambazi.
 
Kuna wanyama hawahitaji kukimbizwa sijui na upinde, mapanga na mbwa juu, bali unatega tu na unanasa.
Ninachukia kutongoza tongoza hovyo...naona sio ustaarabu.
Kuna vitu ukivifanya ni rahisi kufikia lengo kuliko tongoza tongoza.
Binafsi sipendi kutongoza tongoza hovyo, ile tabia mwanamke hata humjui ndio kwanza umemuona mara ya kwanza au ya pili tayari umeshamtongoza mimi hapana kwa kweli, binafsi hua nnaanza kutongoza kwanza kwa hisia, hua nnaacha macho na tabasamu langu lifanye kazi yake ipasavyo, hisia zikishashonana hua situmii nguvu kubwa ya maneno kwenye ushawishi mara nyingi tunajikuta tayari tumeshakulana au mwanamke ndio anaanza kujibebisha mwenyewe na kuniita kwa yale majina matamu matamu kabla ya mimi kufungua mdomo wangu.
 
Na kama mwanamke unahisi hajakuelewa plz usijichoreshe kumtongoza.
 
Na kama mwanamke unahisi hajakuelewa plz usijichoreshe kumtongoza.
Namshukuru Mungu unaenda mwaka wa pili sasa nilishaachana na hizo habari, hata nyumbani sasa hivi furaha imeongezeka sana sana.
Mwanzoni furaha yangu nilikua naitafuta kwa michepuko ila baada ya kukaa na kutafakari sana nikaona huu unakua kama utumwa fulani hivi wa hisia, nikaamua rasmi furaha yangu nianze kuitafuta kupitia kwa mke wangu pamoja na wanangu, mwanzo ilikua ni ngumu sana ila taratibu taratibu sasa hivi najikuta nina furaha na amani zaidi nikiwa nimekaa na wife kuliko mtu mwingine yoyote, yaani yale mapenzi yangu kwa wife kile kipindi cha uchumba ndio sasa hivi nateseka nayo.
 
Safi sana.
Mkuu ukishindana na kei huwezi kishinda utakuwa mtumwa wa hawa viumbe.
Ukijielewa ni vyema sana
 
Back
Top Bottom