-Yaani unajua ninyi watoto wa Mulugo ni mzigo? Umechaguliwa jana kwenda UDOM, leo unataka kujua kila kitu kuhusu UDOM, ili iweje? Ok, unataka kujua joining instructions zinatoka lini, nani ana hizo official information? Whay can't you leave the system work out outomatically, then you will be informed? Nachelea kuamini iwapo elimu ya sasa, ya chuo kikuu bado ina thamani. Kule A'level na kushuka chini, tayari ni hovyo, tushaharibu!