Wale wote waliosoma Mbozi Mission Secondary mnaitwa huku ofisini yupo Ndile Mwankuga na Shupa

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,741
Huyu mwankuga mzee wa kupenda pesa na anapiga suti wiki nzima, braza joji mnamkumbuka? afande maria je huyu alikua analinda bweni la wanaume alafu anabonge la msambwanda, pale mesini muda wa msosi kutana na babu, bro moze na bro devi,
 
sasa ule muda wa kubambia mademu kabla na baada ya prepo usiombe ukamatwe na blaza kayange alikua mnoko balaa hata umpe ada hataki yeye raha yake ni taarifa zifike kwa shupa ili ufukuzwe, bro waya alikua pisi sana, ticha mgogo aliku fala sana..
 
Shule itakuwa siyo maarufu hiyo, ungetaja: Iyunga, Loleza, Rungwe, Tosamaganga, Ifunda, Malangali nk Nyanda za huko
 
Ilikuwa vijijini huko hiyo shule
Mbeya ilikuwa

Meta,iyunga,mbalizi sekondari na sangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…