Huyu mwankuga mzee wa kupenda pesa na anapiga suti wiki nzima, braza joji mnamkumbuka? afande maria je huyu alikua analinda bweni la wanaume alafu anabonge la msambwanda, pale mesini muda wa msosi kutana na babu, bro moze na bro devi,
sasa ule muda wa kubambia mademu kabla na baada ya prepo usiombe ukamatwe na blaza kayange alikua mnoko balaa hata umpe ada hataki yeye raha yake ni taarifa zifike kwa shupa ili ufukuzwe, bro waya alikua pisi sana, ticha mgogo aliku fala sana..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.