Wale wote waliosoma miaka ya nyuma na kupata Division 0

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Tangazo kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi
Wale wote waliosoma miaka ya nyuma na kupata Division 0 wanatakiwa wakachukue vyeti vyao vyenye Division 5. Wizara inaomba radhi Kwa usumbufu utakaojitokeza.
Upatapo taarifa hizi wafahamishe na wengine,
Tangazo hili limeletwa kwako Kwa hisani ya watu wa marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…