Phrasal Verbs
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 245
- 263
Gharama kiasi gani ulizozitumia kusafilisha na ghalama za kodi (na zenginezo kama umetumia posta)?Kua mpole atatuma na itafika tu... Mm yangu imefika juzi, hapa bado nipo natoa ushambaView attachment 1050167
Sent using Jamii Forums mobile app
Imechukua muda gani tangu ufanye malipoKua mpole atatuma na itafika tu... Mm yangu imefika juzi, hapa bado nipo natoa ushambaView attachment 1050167
Sent using Jamii Forums mobile app
FANTANCY atatuma tu mkuu, vuta subira.Ndugu hivi Inaweza ikatokea ukalipia simu ya xiaomi kwenye Store ya FANTANCY TECHNOLOGY lakini hadi siku 10 zinapita seller hajafanya shipping, kama jibu ndio
je ni kwanini hutokea hivyo, suruhisho ni nini?
Asante View attachment 1049602
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nilichukua kwa laki mbili arobaini.Wakuu hii simu ina bei gani ? Je nikiwa na 350K naweza agiza mpya nikapata ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Note 7 pro na note 7 inatofauti gani mkuu na je kuna note 7 ya 350,000 serious?Mm nilichukua kwa laki mbili arobaini.
Kwa budget yako unapata Redmi 7, ni best value for your money.
View attachment 1050298View attachment 1050299View attachment 1050300View attachment 1050301
Mm nilichukua kwa US $182.49 kila kitu mpaka usafiri,Gharama kiasi gani ulizozitumia kusafilisha na ghalama za kodi (na zenginezo kama umetumia posta)?
Nifafanulie nami nataka niagize yangu kupitua posta
Tofauti ipo kwenye SoC, Camera sensor pamoja na hii Redmi Note 7 Pro ina P2I Waterproof wakati Redmi Note 7 haina.Note 7 pro na note 7 inatofauti gani mkuu na je kuna note 7 ya 350,000 serious?
Hii yangu ni Chinese lakini kama unavyoona nipo ndani ya jamiiforums kama kawa!iv xiaom nzur ip kat ya chinese version au global version na kama ya chinese vip kwenye ishu ya mitandao inasoma line za bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa online ndo nitapataMm nilichukua kwa laki mbili arobaini.
Kwa budget yako unapata Redmi 7, ni best value for your money.
View attachment 1050298View attachment 1050299View attachment 1050300View attachment 1050301
Ndio kwa sasa tupo hapa!Hivi watumiaji wa xiaomi nanyi mnapata updates mpya km samsung wafanyavyo tyr imepata android 9.0 A6+View attachment 1050806
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly
Tunapata kama kawaida!Hivi watumiaji wa xiaomi nanyi mnapata updates mpya km samsung wafanyavyo tyr imepata android 9.0 A6+View attachment 1050806
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nilichukua kwa laki mbili arobaini.
Kwa budget yako unapata Redmi 7, ni best value for your money.
View attachment 1050298View attachment 1050299View attachment 1050300View attachment 1050301
Mkuu hapa ni simu gan uliyokua unazungumzia umechukua kwa 240k??
Kama hutojali naomba uweke na specs zake
Mr.mobile
HakunaKuna Xiaomi yenye sifa hizi kwa 180k?
Storage: 16gb
Ram: 2gb
Camera : 12mp or more
Network : 4g
Display: 5.0 inches or more
Fingerprint: Yes (muhimu)
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uende redmi go!!Kuna Xiaomi yenye sifa hizi kwa 180k?
Storage: 16gb
Ram: 2gb
Camera : 12mp or more
Network : 4g
Display: 5.0 inches or more
Fingerprint: Yes (muhimu)
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app