Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Redmi Note 7 zote zina Chipset moja Qualcomm Snapdragon 660. Hiyo AIE ina maanisha Artificial Intelligence Engine. Inaifanya processor kuwa na nguvu zaidi.
Screenshot_20190329-135846_AliExpress.png

Fantancy technology Siku hizi anatuweka sana .
 
Kwa bajeti ya 300k
Napata aina gani ya xiaom nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Global Version Xiaomi Redmi 7 3GB 32G 4000mAh Large Battery | Corning Gorilla glass 5

Snapdragon 632 Octa Core | 12 MP+2MP Dual AI Rear Camera | P2I Waterproof Body

6.26" 19.5:9 HD Full Screen | 4000mAh Big Battery

TZS 329,478.77924
 
Kawa mpuuzi sana siku hizi. Ndo alinifanya had nisitumie Xiaomi. Niliagiza km 3times zote anachelewa nikaamua kucancel order mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa niliwahi ku cancel order ambayo imekaa siku 9. Mbaya zaidi siku ya 10 walio weka order wakatumiwa mimi nikawa nimesha cancel. Ndani ya huo muda nika order tena alikuwa na mzigo siku hiyo hiyo process za ku ship zikaanza. Nilijilaumu sana ku cancel order sababu kuna pesa unakatwa pale.

Sent by SangaweJr
 
Ukicancel ni hasara Mara 2 kwanza hela zinapungua kiaina maana aliexpress wanakata pia bank kuna asilimia Fulani wanakata kwenye refund pili unapoteza muda wako kusubiri shipment kabla ya kucancel
 
Toa mpunga uagiziwe au ukubali kupigwa tsh 580,000-660,000 kwa iliyo mkononi tayari maana wenzio wanazisotea hadi siku 40 afu wakuachie kirahisi rahisi......
Acha kabisa ndugu niko naisotea redmi note 7 ram 4 GB / ROM 128 GB
Baada ya siku 18 ikawa shipped now naisotea siku nyingine za kufika Dar hata Track number bado haijaanza kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom