Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hivi hizi simu zina mbwembwe kiaina eeh,maana nlgusa miji ya uhindini ,nkaona simu yangu ghafla ina download mi community, music ikawa more quality,xiaomi app store , Hungama sjui na ikapata face unlock wkt nikiwa bongo vyote havikuwepo

Sent using Brain
 

Hakika mkuu! Kuna baadhi ya features nyingi tu zinapatikana kwenye baadhi ya region pekee. Mf: hiyo face unlock, fonts changer, nk.
 
Nmeona redmi note 7 hawatoi global version,swali wadau,uknunua chinese haitasumbua chochote ukifika tz?

Sent using Brain
 
Duuuu hii kitu mbona kama nimeilewa sana kwa hizo laki mbili na arobaini tu?
Kutunza chaji vipi mkuu INA jitahidi kimtindo?
 
Mkuu naomba procedure za kuagiza simu hizo.... naomba hatua kwa hatua & requirements.... pia vendor gani mzuri hana longo longo
Seller ni FANTASY TECHKNOLOGY Kwa bidhaa za Xiaomi hanaga shida na nimuwazi.

Kuhusu procedures acha nimkaribishe Jamaa anaitwa SangaweJr na Mr. Mobile Credit zangu zinaenda kwa hawa jamaa wako fair na wanaweza kukuelekeza vizuri.
 
Hii kwa matumizi yangu kwasasa inanifaa mkuu!
Samahani mkuu huu uzi sijausoma wote! Hiyo bei ni kwa maduka ya hapa bongo? Na vip wewe mkuu una duka unaziuza au na wewe ulinunua tu mahali?

Kwa Bongo hiyo inauzwa TZS 350,000, hiyo bei ya online Aliexpress. Mm niliagiza online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…