Redmi Note 7 zote zina Chipset moja Qualcomm Snapdragon 660. Hiyo AIE ina maanisha Artificial Intelligence Engine. Inaifanya processor kuwa na nguvu zaidi.
Mimi mwenyewe kaniweka siku 18 hajatuma mzigo ndo kutuma juzi hapaView attachment 1057016
Fantancy technology Siku hizi anatuweka sana .
Hiyo simu mpya, nyingi zilikuwa ni pre-sale. Vuta subira itatumwa.View attachment 1057016
Fantancy technology Siku hizi anatuweka sana .
Global Version Xiaomi Redmi 7 3GB 32G 4000mAh Large Battery | Corning Gorilla glass 5
Duuuh noma sana 18+21=39daysMimi mwenyewe kaniweka siku 18 hajatuma mzigo ndo kutuma juzi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
21 hizo ni siku za kungoja mzigoDuuuh noma sana 18+21=39days
Kawa mpuuzi sana siku hizi. Ndo alinifanya had nisitumie Xiaomi. Niliagiza km 3times zote anachelewa nikaamua kucancel order mazima.View attachment 1057016
Fantancy technology Siku hizi anatuweka sana .
Yes Redmi 7 ndio ana stock ya kutosha so anatutumia fasta.Hiyo simu mpya, nyingi zilikuwa ni pre-sale. Vuta subira itatumwa.
Huyo jamaa niliwahi ku cancel order ambayo imekaa siku 9. Mbaya zaidi siku ya 10 walio weka order wakatumiwa mimi nikawa nimesha cancel. Ndani ya huo muda nika order tena alikuwa na mzigo siku hiyo hiyo process za ku ship zikaanza. Nilijilaumu sana ku cancel order sababu kuna pesa unakatwa pale.Kawa mpuuzi sana siku hizi. Ndo alinifanya had nisitumie Xiaomi. Niliagiza km 3times zote anachelewa nikaamua kucancel order mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Hong Kong goldway karudi kumchallenge bado Mi retail store na X-show mambo yatarudi kama zamaniKawa mpuuzi sana siku hizi. Ndo alinifanya had nisitumie Xiaomi. Niliagiza km 3times zote anachelewa nikaamua kucancel order mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukicancel ni hasara Mara 2 kwanza hela zinapungua kiaina maana aliexpress wanakata pia bank kuna asilimia Fulani wanakata kwenye refund pili unapoteza muda wako kusubiri shipment kabla ya kucancelHuyo jamaa niliwahi ku cancel order ambayo imekaa siku 9. Mbaya zaidi siku ya 10 walio weka order wakatumiwa mimi nikawa nimesha cancel. Ndani ya huo muda nika order tena alikuwa na mzigo siku hiyo hiyo process za ku ship zikaanza. Nilijilaumu sana ku cancel order sababu kuna pesa unakatwa pale.
Sent by SangaweJr
Toa mpunga uagiziwe au ukubali kupigwa tsh 580,000-660,000 kwa iliyo mkononi tayari maana wenzio wanazisotea hadi siku 40 afu wakuachie kirahisi rahisi......Jaman mwenye redmi note 6 pro tuwasiliane
FactToa mpunga uagiziwe au ukubali kupigwa tsh 580,000-660,000 kwa iliyo mkononi tayari maana wenzio wanazisotea hadi siku 40 afu wakuachie kirahisi rahisi......
Acha kabisa ndugu niko naisotea redmi note 7 ram 4 GB / ROM 128 GBToa mpunga uagiziwe au ukubali kupigwa tsh 580,000-660,000 kwa iliyo mkononi tayari maana wenzio wanazisotea hadi siku 40 afu wakuachie kirahisi rahisi......
Hao ni Mi retail store nao ndo walewale, nakumbuka kuna Oda yangu ilikaa 2weeks hawajatuma, nayo nikaamua kucancel.Naona Hong Kong goldway karudi kumchallenge bado Mi retail store na X-show mambo yatarudi kama zamani
Utaipata kwa sh ngapAcha kabisa ndugu niko naisotea redmi note 7 ram 4 GB / ROM 128 GB
Baada ya siku 18 ikawa shipped now naisotea siku nyingine za kufika Dar hata Track number bado haijaanza kusoma
Sent using Jamii Forums mobile app