Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu kumbe mi series ni zaidi ya Redmi series
Mbona mimi ni Redmi ila naona features nimempiku huyo wa mi 8
Je uzaidi wa mi 8 kwa redmi note 7 ni upi

Naomba unieleweshe mkuu kabla sijabadili maamuzi ya kutafuta mi series
Mi mostly ni highend smartphone mkuu hata bei zake mkasi ila Redmi ni mid range za kati ko mi 8 iko juu sana kwa note 7 atleast hata note 7 pro maana ina camera ya highend smartphone pia haiwezi kuiguza mi 8 sio mi 8 lite ni mi 8 yenyewe.
 
Kama simu yenyewe ndo hii mbona kama note 7 yangu inachanja

TZS 850,298.86 | Global Version Xiaomi Mi 8 6GB 128GB 6.21" Full Screen Snapdragon 845 Octa Core 20MP Front Camera Face Unlock NFC Mi8 Smartphone
 
Mi mostly ni highend smartphone mkuu hata bei zake mkasi ila Redmi ni mid range za kati ko mi 8 iko juu sana kwa note 7 atleast hata note 7 pro maana ina camera ya highend smartphone pia haiwezi kuiguza mi 8 sio mi 8 lite ni mi 8 yenyewe.
Mi 8 ni fupi pana,nyemba na nyepesi kuliko note 7 pia Ina camera kali, powerful processor na Kioo cha Super AMOLED
Ila Ukija kwenye mi 8 lite haina utofauti sana na note 7
 
Umeangalia kigezo kipi mkuu? High-end itabaki kuwa high-end, hata kama ni ya miaka miwili nyuma na itapitwa na mid-range kwenye features chache mno!
 
Mkuu kumbe mi series ni zaidi ya Redmi series
Mbona mimi ni Redmi ila naona features nimempiku huyo wa mi 8
Je uzaidi wa mi 8 kwa redmi note 7 ni upi

Naomba unieleweshe mkuu kabla sijabadili maamuzi ya kutafuta mi series
Jaribu kuangalia features za Mi 9 utagundua utofauti mkubwa uliopo, kuanzia built quality, chipset, camera, pia hardware kiujumla ni beast. Sema kwenye hizi high-end hawaweki battery kubwa kama kwenye mid-range.
 
Inaonekana mi bado mgeni kwenye industry ya Xiaomi, kuna mambo bado sijaelewa kumbe kuna xiaomi za high end Na mid range
Na hiyo mi 8 kumbe high end Basi nimekuelewa chief
Umeangalia kigezo kipi mkuu? High-end itabaki kuwa high-end, hata kama ni ya miaka miwili nyuma na itapitwa na mid-range kwenye features chache mno!
 
Inaonekana mi bado mgeni kwenye industry ya Xiaomi, kuna mambo bado sijaelewa kumbe kuna xiaomi za high end Na mid range
Na hiyo mi 8 kumbe high end Basi nimekuelewa chief
Yep! Karibu ulimwengu wa Xiaomi yapo mengi ya kuyafahamu na kujifunza kuhusu hii brand inayochipukia kwa kasi. Na kama unakumbuka mara ya kwanza kabisa hapa jukwaani wakati unataka kununua simu nilikushauri Pocophone F1 by Xiaomi ambayo ni high-end inayouzwa kwa bei himilifu ukilinganisha na high-end nyingine za Xiaomi.
 
Nadhani wanamaintain wembamba na uzito mwepesi wa simu
Kabisa! Hii ndio sababu ya msingi, battery kubwa inakuwa na ujazo mkubwa zaidi wa madini ya lithium. Ndio maana kwenye hizi high-end wanaweka battery lenye ujazo mdogo kupunguza uzito na kuifanya iwe nyembamba zaidi.
 
Kumbe pocophone ni high end dah mkuu kumbe nimepotea njia [emoji2297]
 
Ahsante mkuu,ngoja nikusanye kusanye ,na mimi niagize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…