Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Kachukue POCO phone au mi 9Nimetumia Xiaomi Redmi note 7 ni simu nzuri kimwonekano ila shida yake Camera siyo nzuri sana kama Huawei P20.. View attachment 1075265
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukue POCO phone au mi 9Nimetumia Xiaomi Redmi note 7 ni simu nzuri kimwonekano ila shida yake Camera siyo nzuri sana kama Huawei P20.. View attachment 1075265
Sidhani kama upo sahihiCamera yake si nzuri sana pia moto haitunzi sana, Nina Oppo a3s lkn kutunza moto inazidi Redmi Note 7, wakati redmi ni mpya betri 4000mAh huku oppo ikiwa na betri 4230mAh tena imetumika mnoo ..
Ebu sema wewe,... Maana mimi nikisema wanasema naongelea ushabiki.Yaani p20 ya milioni na ushee wanataka ifanane camera na redmi note 7 ya laki 5!!!
Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
Mkuu nitaomba msaada wako mi nina MI 5X kuhusu kuweka hiyo playstore .
Kama ukiagiza mwenyewe andaa 150,000-155,000 ila kuagiziwa Inategemea utamlipa sh ngapi mtoa Huduma wako!!Samahani natoka nje ya mada. External ya toshiba 1TB inaweza kuwa bei gan nkiagiza mpka naipata mkononi
Redmi note 7 pro jamaa hawatoi global Version labda ChineseUngecheck Note 7 pro mkuu.....note 7 plain ni nzuri kimuonekano tu ila specs zake haina tofauti na model za xiaomi zilipita kama redmi 6 and the like.....
180,000 ila kama bongo inauzwa bei chini ya hiyo au zinalingana basi hakuna umuhimu wa kuagizaSamahani natoka nje ya mada. External ya toshiba 1TB inaweza kuwa bei gan nkiagiza mpka naipata mkononi
Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
Mkuu nitaomba msaada wako mi nina MI 5X kuhusu kuweka hiyo playstore .
Earphone na screen protector zinakuwa hazipo kwenye original package. Kwa earphone original za xiaomi zipo za elfu ishirini hadi za laki na zaidi zenye noise reduction na protector nzuri zinaanzia $7,...Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
Kwa hela yako hiyo labda redmi 6a auKwa 250k napata Xiaomi ipi nzuri? Mr. Mobile
Kama alivyoshauri mdau hapo juu ongeza uchukue Redmi 7 2GB RAM, 16GB ROM.Kwa 250k napata Xiaomi ipi nzuri? Mr. Mobile
Hilo toleo la nyuma sana, kuipata kwake si rahisi. Kama mfuko una ruhusu bora uchukue Mi Max 3.Smartphone ya XIAOMI Mi Max 2 naweza pata kwa bei gani?
Vitu vyote ni kuagiza tu mkuu, tena unabahati una version ya kichina sababu zina features za ziada na updates utapokea faster kuliko zingneGuys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
SafiBaada ya muda mrefu kusoma nyuzi hapa za wadua nami kwa mara ya kwanza nimeamua kuagiza mzigo AliExpress nimeanza na case ya redmi note 7 yangu
Nimefanya malipo jana, leo mapema seller akaship mzigo View attachment 1078449
Katika matumizi ya simu yako mpya unaona kitu gani kizuri uki compare na brand nyingine? Tiririka!Baada ya muda mrefu kusoma nyuzi hapa za wadua nami kwa mara ya kwanza nimeamua kuagiza mzigo AliExpress nimeanza na case ya redmi note 7 yangu
Nimefanya malipo jana, leo mapema seller akaship mzigo View attachment 1078449
Katika matumizi ya simu yako mpya unaona kitu gani kizuri uki compare na brand nyingine? Tiririka!
hiv mkuu hakuna redmi note 7 yenye 2gb ram 16gb rom.....kama ipo ni shingap??4GB RAM 64GB ROM TZS 589,666.45
View attachment 1078450