Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo yapi mkuu umeyagundua katika camera?Nimetumia Xiaomi Redmi note 7 ni simu nzuri kimwonekano ila shida yake Camera siyo nzuri sana kama Huawei P20.. View attachment 1075265
Redmi note 7 ni mid-range na Huawei P20 ni hig-end usitegemee zikawa sawa kwenye camera.Nimetumia Xiaomi Redmi note 7 ni simu nzuri kimwonekano ila shida yake Camera siyo nzuri sana kama Huawei P20.. View attachment 1075265
US $10.77 23%OFF | 2018 New Xiaomi Earphones Mi Dual Driver MEM Mic Tenacity Wire Control Half-In-Ear L-Shape Plug Earphone Hybrid DC Dynamic
US $10.91 22% OFF|2018 New Xiaomi Earphones Mi Dual Driver MEM Mic Tenacity Wire Control Half In Ear L Shape Plug Earphone Hybrid DC Dynamic-in Phone Earphones & Headphones from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
Sent using Jamii Forums mobile app
Camera yake si nzuri sana pia moto haitunzi sana, Nina Oppo a3s lkn kutunza moto inazidi Redmi Note 7, wakati redmi ni mpya betri 4000mAh huku oppo ikiwa na betri 4230mAh tena imetumika mnoo ..
Vipi Hawana wireless? Naweza pata link tafadhali
View attachment 1075447View attachment 1075448View attachment 1075449
New Original Xiaomi Mi Bluetooth Earphone Headset With Mic Sports Wireless Youth Edition Waterproof For Xiaomi iPhone Smartphones
Asante ndugu hiyo waya inatoka au inabaki hivyohivyo
Muundo huu ni rahisi zaidi QCYView attachment 1076252
US $29.99 | IN STOCK Original Xiaomi Redmi AirDots True Wireless bluetooth 5.0 Earphones DSP Active Noise CancellationUnaweza kunisaidia Link yake mkuu
Kwa bei ya online TZS 270,590.1Wakuu naomba msaada wenu, kwanza awali ya yote mtanisamehe kwani ntakuwa nje ya mjadala wa uzi huu.
Nina shida ya kujua kwa hapa kwetu napata wapi hii kitu Intel[emoji2400] Neural Compute Stick au Intel[emoji2400] Neural Compute Stick 2 kwa hapa kwetu bei ni sh ngapi au kwa kuagizia itanigharimu kiasi gani mpaka inanifikia
0654444064
View attachment 1077215View attachment 1077216
Kuna jinsi ya kuweka playstore kwenye simu boss hilo sio swala,pia kuhusu protector agiza nje na earphone agiza nje au nunua yeyote ile.Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
Mkuu nitaomba msaada wako mi nina MI 5X kuhusu kuweka hiyo playstore .Kuna jinsi ya kuweka playstore kwenye simu boss hilo sio swala,pia kuhusu protector agiza nje na earphone agiza nje au nunua yeyote ile.
Nimetumia Xiaomi Redmi note 7 ni simu nzuri kimwonekano ila shida yake Camera siyo nzuri sana kama Huawei P20.. View attachment 1075265
Yaani p20 ya milioni na ushee wanataka ifanane camera na redmi note 7 ya laki 5!!!Redmi note 7 ni mid-range na Huawei P20 ni hig-end usitegemee zikawa sawa kwenye camera.