Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Zipo huko uchinani level za kina tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Umidigi sio simu mbaya tena ni za gharama nafuu kushinda Tecno.Kama hii F1 ina 128GB na unaipata chini ya laki 5. Sidhani kama kuna simu ya uwezo huo kwa Tecno au infinix utapata kwa Bei hiyo
Wanatumia processor za Mtk lakini sio zile dhaifu kama za Tecno,kama hiyo F1 inatumia Helio P60
Wanaigeria kwenye nairaland forum wanazisifia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Umidigi sio simu mbaya tena ni za gharama nafuu kushinda Tecno.
Wanatumia processor za Mtk lakini sio zile dhaifu kama za Tecno,kama hiyo F1 inatumia Helio P60
Wanaigeria kwenye nairaland forum wanazisifia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sio mbaya halafu wanaandika ukweli kuliko tecno wanaandika camera mp 20 kumbe ni mp 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingawa seller aliniweka sana ila hatimaye mzigo upo mkononi

Sasa wanatecno msishtuke kuona mabadiriko yangu
Hii ndio picha ya mwisho kutumia tecno ona camera ilivyo mbovu
Watumiaji wa tecno poleni sana [emoji3]View attachment 1067610View attachment 1067611View attachment 1067612

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hawa Redmi wana disappoint kwenye kitu kimoja,.... Simu ina support quick charge 4.0 lakini wao wanaweka kwenye box charger ya kawaida ya 10W badala 18W yenye uwezo wa kuchaji kwa haraka.
 
Halafu hawa Redmi wana disappoint kwenye kitu kimoja,.... Simu ina support quick charge 4.0 lakini wao wanaweka kwenye box charger ya kawaida ya 10W badala 18W yenye uwezo wa kuchaji kwa haraka.
Reason behind this?

Sent using Samsung Galaxy
 
Bei zinatofautiana kulingana na RAM, ROM, Color, na njia ya usafirishaji utakayotumia kuleta mzigo.
Sorr kuvamia ishu ya jamaa,b
Me too ningependa kujua Bei ya hio lets say yenye ram 4 rom 64 colour black,and same colour ila weka ram 6 na rom ya juu zaid ya 64?

Sent using Brain
 
Halafu hawa Redmi wana disappoint kwenye kitu kimoja,.... Simu ina support quick charge 4.0 lakini wao wanaweka kwenye box charger ya kawaida ya 10W badala 18W yenye uwezo wa kuchaji kwa haraka.
Ndugu kama hapo yangu unaangalia vipi maana sikulijua hilo
IMG_20190414_095640.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reason behind this?

Sent using Samsung Galaxy
Kupunguza gharama ndio sababu ya msingi.
BTW, unaweza kutafuta hiyo 18W fast charger kwa third-party manufacturer, zipo nyingi tu chini ya $10, hata pale kwenye ku check out kuna option ya ku add hiyo 18W fast charger ila ndio gharama inaongezeka kama $10.
 
Sorr kuvamia ishu ya jamaa,b
Me too ningependa kujua Bei ya hio lets say yenye ram 4 rom 64 colour black,and same colour ila weka ram 6 na rom ya juu zaid ya 64?

Sent using Brain
Redmi Note 7 4GB RAM, 64GB ROM, Black |TZS 495,849.42
 
Back
Top Bottom