Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu nakwambia wewe ulibahatika maana kwenye watu 10 waliowahi tumia Rock 8 wanakwambia hazidumu. Shida ni lile liconnector laoHizo Hybrid Dc nimezielewa Sana aseee,vipi sound quality yake zinazidi Rock?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hazina bass sana, ila sound quality inayotoka ni clear sana, for me is decent. Pia zina HD Audio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amini kaka simu inatunatuna mpk inapoteza mvuto bhn then covers huwa zinaharbu simu nshasuhudia simu nyng za watu covers znaharbu mno hasa simu za plastic znaharbu sana rangi na michubuko juu sababu ya joto

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua kava zenye quality mkuu ni full protection. Kwa hizi simu zenye metal body, bila kava unaingusha muda wowote, sababu zinateleza sana.
IMG-20181222-WA0000.jpeg
IMG-20181222-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hizohizo Mi Piston ila sio Pro. Ila nimeona reviews nyingi wanasema kwamba zinapiga vizuri zaidi zikiwa kwenye simu ya Xiaomi

Mkuu naomba hiyo link ya hizo earbuds

Sent using Jamii Forums mobile app
QCY qs1 TWS 5.0 Bluetooth headphone 3D stereo wireless earphone with dual microphone
US $19.98 75% OFF| QCY qs1 TWS 5.0 Bluetooth headphone 3D stereo wireless earphone with dual microphone-in Bluetooth Earphones & Headphones from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group


link hyo hapo bro...kweli earphone za xiaomi zinasound fresh kwny simu ya xiaomi Mi huwa natumia xiaomi sjajua kwa simu zngn inakuaje ata ile feature ya HD inakua inapatkana kwa xiaomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakwambia wewe ulibahatika maana kwenye watu 10 waliowahi tumia Rock 8 wanakwambia hazidumu. Shida ni lile liconnector laoHizo Hybrid Dc nimezielewa Sana aseee,vipi sound quality yake zinazidi Rock?!

Sent using Jamii Forums mobile app
zitakua na shida ya connector tu lakn nmefatilia sound yake sio yaktoto Bro uklngansha na price according to reviews

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom